Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof John Nkoma akijibu
maswali ya wanablog wakati wa Mkutano na bloggers juu ya kuelimishwa juu
ya sheria za uchaguzi
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof John Nkoma
akizungumza na wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blogs) wakati wa warsha
kwa bloggers ambao umefanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar
Es Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari, Maelezo, Bw Assah Mwambene akichangia mada wakati
wa mkutano wa bloggers ulioandaliwa na mamalaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA) uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City.
Baadhi
ya Wamiliki wa Blogs wakifuatilia Mazungumzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu
wa TCRA (hayupo Pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha ya Mkutano
iliyoandaliwa na mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa Bloggers.
Injinia Kasaka Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wamiliki wa blogs
Baadhi
ya wamiliki wa blogs wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa
katika mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Mmiliki
wa Blog ya Mdimuz Blog, Bw Henry Mdimu akichangia mada wakati wa
mkutano wa bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA) kwaajili ya kutoa elimu juu ya Sheria za Uchaguzi.
Mmiliki
wa Blog ya 8020 fashion, Bi Shamim Mwasha akiuliza swali wakati wa
mkutano wa bloggers uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city, Mkutano
huo umeandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ukiwa na lengo la
kutoa elimu kwa bloggers juu ya Sheria za Uchaguzi Nchini.
Francis Godwin Kutoka Iringa akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Wamiliki
wa Blogs wakiendelea kufuatilia Mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa
katika mkutano huo.Picha Zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
0 comments :
Post a Comment