Mpiga picha wa The Guardian Ltd, Halima
Kambi akifotoa picha kwa kutumia kamera aina ya Nikon wakati wa mafunzo
ya upigaji picha makao makuu ya ofisi ya Tamwa novemba 25 na 26 mwaka
huu ambayo pia yaliambatana na maadhimisho ya siku 16 za ukatili wa
kijinsia, na maisha ya mwanamke ikihusisha wapiga picha wa picha za
habari kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Zanzibar
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi wa mafunzo ya
upigaji picha, Mwanzo Millinga kulia akimwelekeza jambo mmoja wa wapiga
picha wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika ofisi za Tamwa Mwenge Mori
Jijini Dar Es Salaam.
Mpiga picha mkuu wa The Guardian Ltd, Seleman Mpochi akiwaelekeza jambo wapiga picha hao wakati wa mafunzo hayo.
Mpiga Picha Joachim Mushi akiwaelekeza jambo wenzake wakati wa mafunzo hayo.
Mpiga Picha mkuu wa Tamwa Aika Kimaro akimwelekeza jambo mpiga picha wa habarileo mkoa wa Singida, Bertha Mjema katika mafunzo hayo.
Mkufunzi Millinga akiendelea na zoezi la upigaji Picha.
Rashid Mkwida kushoto akifuatilia jambo kutoka kwa mkufunzi Millinga.
Fredrick Katulanda mhariri kanda ya ziwa
gazeti la Mtanzania naye akitoa uzoefu juu ya upigaji wa picha za
habari zikiwemo kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia.
Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo.
Bertha Mjema kutoka Singida akijifunza jambo kupitia kamera ya canon katika SOURCE:JUMA MTANDA BOFYA HAPA KUSOMA HABARI MBALI MBALI ZA KITAIFA HABARI ZA KITAIFA
0 comments :
Post a Comment