Helikopta ikiwa hewani.
Hapa ikijiandaa kutua.
Helikopta
ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
imezinduliwa leo hii katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyopo
Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa
madhehebu ya Kikristo nchini.
Uzinduzi
huo pia uliohudhuriwa na Mbuge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye
alikuwa ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo ulioendana na kukata utepe
kisha kuirusha helikopta hiyo hewani kama ishara ya kuanza rasmi kazi
yake ambayo ni kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na
kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo.
(Picha/ Shani Ramadhani na Chande Abdallah).
0 comments :
Post a Comment