|
Zitto
kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama
yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa
kwenda Kigoma kwa mazishi |
|
Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe |
Waheshimiwa
Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa
Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum kuingiza kwenye ndege
Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi
Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko
Rais wa TASWA Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport
alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe
0 comments :
Post a Comment