Maafisa
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lubert Fransis (kulia) na
Mwanamridu Jumaa wakipanga maboksi kwa ajili ya kuhifadhia makaratasi ya
mitihani ya usaili. Zaidi ya waombaji 10,000 walifanya usaili wa awali
Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo ambapo baada ya wiki moja
waliofaulu vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho
Sehemu
ya waombaji zaidi ya 10,000 wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara ya
Uhamiaji wakifanya usaili wa awali wa kuandika ulioandaliwa na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kujaza nafasi 70 za kazi ambazo
zinahitajika katika Idara hiyo. Usaili
huo uliongozwa na Maafisa Utumishi wa wizara hiyo, umefanyika Uwanja wa
Taifa, jijini Dar es Salaam leo ambapo baada ya wiki moja waliofaulu
vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho.
Afisa
Utumishi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Penina Isamuyo akigawa
makaratasi ya mitihani kwa waombaji wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara
ya Uhamiaji kwa ajili ya kufanya usaili wa awali wa kuandika. Zaidi ya
waombaji 10,000 walifanya usaili huo Uwanja wa Taifa, jijini Dar es
Salaam leo ambapo baada ya wiki moja watakaofaulu vizuri wataitwa kwa
ajili ya usaili wa mwisho.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Lilian Mapfa (kulia) akiwa na Meneja wa Uwanja wa Taifa, Rish Moses
wakati wa usaili wa waombaji wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya
Uhamiaji. Zaidi ya waombaji 10,000 wamefanya usaili wa awali Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kugombea nafasi 70 zilizotangazwa
na Katibu Mkuu wa wizara hiyo.
Afisa
Utumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwanamridu Jumaa (aliyevaa
kiraia) na askari Magereza wakiwa wamebeba maboksi yenye makaratasi ya
mitihani ya usaili iliyofanywa na zaidi ya waombaji 10,000 Uwanja wa
Taifa, jijini Dar es Salaam leo. Baada ya wiki moja waombaji waliofaulu
vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Lilian Mapfa akisimamia usahihishaji wa mitihani ya usaili ya waombaji
wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji inayosahihishwa na
Maafisa Utumishi wa wizara na askari Magereza. Zaidi ya waombaji 10,000
wamefanya usaili wa awali Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo kwa ajili
ya kugombea nafasi 70 zilizotangazwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo.

PICHA ZOTE NA -KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
0 comments :
Post a Comment