-->

HIVI NDIVYO KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON KILIVYOTUA BRAZIL


Wazee wa mgomo: Wacheaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege eneo la Galeao Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya kusitisha mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka nchini kwao jana.
 
 Alex Song akiteremka kironga ronga sikioni


  Samuel Eto'o akishuka kwenye ndege tayari kwa safari ya kambini kwao
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment