-->

MASHABIKI WA UHOLANZI WAFANYA VITUKO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWA KUIGA GOLI LA VAN PERSIE

DutchEmbassyPersieing
Wafanyakazi wa ubalozi wa Uholanzi nchini Uingereza
Robin van Persie alifunga moja ya magoli mazuri sana kwenye michuano ya kombe la dunia inayoendelea hivi sasa nchini Brazil, kwenye mchezo dhidi ya Spain ambao Uholanzi walishinda 5-1.

Van Persie alifunga goli hilo kwa kichwa cha kurukia kama anatumbukia kwenye maji na kuisawazishia Uholanzi goli la kwanza dhidi ya Spain wiki moja iliyopita. Goli hilo limeleta hamasa kubwa miongoni mwa washabiki wa soka hasa wanaotumia mtandao ya internet kupitia social media ambapo wamekuwa wakipost picha wakionekana kugeza namna Van Persie alivyofunga goli dhidi ya Spain.
Hizi ni baadhi ya picha za mashabiki wakimgeza RVP
JOHNSCHEER057
JOHNSCHEER057
jvandeven
jvandeven
missmikmik
missmikmik
sietzesch
sietzesch
RVPGrandad
PersieingFans
PersieingFans
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment