Chuo kikuu cha waislam Morogoro sasa kimeanzisha program mpya ya utoaji wa DIPLOMA ya elimu ya msingi.Kwa mara ya kwanza program ya Ualimu ngazi ya DIPLOMA itakuwa ikitolewa katika chuo hicho toka hapo kilipoanzishwa.
Ili kupata taarifa zaidi ya namna ya kujiunga na vigezo bofya link hii hapa chini
DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI
Ili kupata taarifa zaidi ya namna ya kujiunga na vigezo bofya link hii hapa chini
DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI
0 comments :
Post a Comment