-->

TIZAMA KOMBE LA DUNIA BUREEE KWENYE COMPUTER YAKO


Wale wapenzi wetu wa blog ya www.bustaniyahabari.com kutokana na maombi ya watu wengi  tumeona tuwawekee link ambayo mtaweza kuona vizuri mpira bure mahali kokote ulipo kaa wewe na jamaa zako mkifurahia michuano hiyo hii ni mwanzo tu kwani blog yako pendwa imejipanga kuhakikisha kuanzia sasa hutakwenda kujibana kwenye mabanda ya mipira kwan computer yako itakusogezea burudan zote hapo ulipokaa asante kwa kuchagua BUSTANI YA HABARI kua blog yako hakika kua wa kwanza kupata habari za kitaifa na kimataifa hapa!!

KWA KUKUSAIDIA!!

Unaweza ukajiunga na bando lile la 1000 ambayo unapata 1Gb hio kwa uzoefu wangu utaangalia mechi zote tatu na utabaki na Mb kibao za kuendelea kufanya mambo yako

JINSI YA KUTUMIA!!
BOFYA LINK HII KUTIZAMA
Ukishabonyeza  hapo angalia mechi ambayo ndiyo inaonyeshwa muda muafaka alafu chagua link yeyote utakayo chagua kuangalia kisha iache imalize kuhesabu  kutoka kwenye 15 mpaka 0 ili matangazo ambayo yataziba picha yatoke kisha  utabonyeza kwenye alama ya x iliyo katikati ya picha kisha utaona mpira  alafu chin kwenye picha utaona x nyingine ibonyeze ikishatoka unaweza kuweka full screen nawatakia utazamaji mwema karibuni www.bustaniyahabari.com
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment