-->

HIVI NDIVYO MAZISHI YA MAMA YAKE ZITTO KABWE YAIVYOKUWA HUKO KIGOMA


Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiombewa.
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu.
Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment