-->

USTADHI SULEIMAN FILAMBI AWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFARI YA JUMUIYA YA PCCB MUM YALIYOFANYIKA TRH 16/6/2014

Mohammed Omari akisoma shairi la kuhusu upingaji wa rushwa

meza kuu ikiwa ina wageni wawili kutoka makao makuu ya TAKUKURU WILAYA,Mgeni rasmi ,raisi wa jumuiya ya ant corruption Hamad Omary pamoja na naibu katibu wa jumuiya Ngozi

mlezi wa jumuiya ya PCCB katika chuo kikuu cha waiislam Morogoro Al haj Tamim akiwa pamoja na Bwana mitihani wa chuo hicho Mr Mfinanga.



Ally Majalla akisoma makala maalumu ya kupinga Rushwa na hali ya Rushwa katika ngazi ya taifa na kimataifa


Katibu wa jumuiya Bw. Isihaka akisoma risala

Mlezi wa jumuiya akiwasilisha mada ya Ubaya Rushwa na jinsi inavyoweza kuitafuna jamii kisha akamkaribisha mgeni rasmi


Mgeni rasmi wa mahafari ya PCCB MUM Mr. Suleiman Filambi ambae alieleza umuhimu wa kuwa wasomi wa kanuni na taratibu mbali mbali zilizoekwa kuendesha jamiii au taasisi mbali mbali na jinsi inavyoweza kukusaidia kukuepusha kutoa rushwa."Tunahitajika kuwa well informed" alinukuliwa akisema wkati anaeleza mambo mbali mbali aliyojifunza akiwa nchini Uingereza



Muwakilishi wa PCCB wilaya akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa chuo kurusu taasisi yao ya kuzuia na kupambana na rushwa kuanzisha jumuiya hiyo chuoni hapo.

Kijana wa mwaka wa tatu Bw Mbaruk akitoa neno la kuwawakilisha wanafunzi wote wanaohitimu

Naibu katibu akiamuru wanajumuiya kusema kauli mbiu ya jumiya hiyo ambayo ni
"SAY NO CORRUPTION"

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment