IJUE HISTORIA YA BUSTANI YA HABARI
BUSTANI YA HABARI ni blog iliyoanzishwa na kijana Omari Makoo ambae anasoma kwenye chuo kikuu cha waislam Morogoro.Hapo awali hii blog ilikuwa haitumii jina la BUSTANI YA HABARI bali ilikuwa imeandikwa tu HABARI,MICHEZO NA MATUKIO kwa bahati mbaya jina hili halikuweza kuifanya blog hii kutambulika kwa watu wengi katika kipindi hicho cha awali.Baada ya miezi takriban sita jina la blog lili badilika na kuwa BUSTANI YA HABARI huku URL ikiwa ni www.googlehabari.blogspot.com.Blog hii iliitwa bustani ya habari kwa sababu ya kuwa na aina mbali mbali ya habari kama vile michezo,siasa,habari za kitaifa na kimataifa.Hivyo neno BUSTANI ni lugha ya picha likiimaanisha kwamba kama lilivyo shamba la kawaida lina mazao tofauti tofauti hivyo BUSTANI YA HABARI ina habari tofauti tofauti.Baada ya kutumia jina hili, kilikuwa ni kipindi kizuri sana kwa mafanikio kwani sasa blog hii ilianza kupata wasomaji wengi wa ndani ya nchi na nje ya nchi. Mwaka 2013 blog ya BUSTANI YA HABARI ilipata nafasi ya kushiriki mashindano ya TANZANIA BLOG AWARD katika kategoria ya BEST BLOG/GRAPHIC DESIGN BLOG.Hivyo blog ilikumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa blog maarufu lakini hazikufua dafu. The Best Design/Graphic Design Blog 1. Bustani ya Habari http://googlehabari.blogspot.com/
2. Dvj Sweetp http://dvjsweetp.blogspot.com/
3. Eddy Blog http://eddymoblaze.blogspot.com/
HAYA NDIO MATOKEO YA TANZANIA BLOG AWARDS 2013 KWA UJUMLA.
The Best Agriculture Blog 1. Mitikiti - Kilimo Kwanza http://mitiki.blogspot.com/
2. Shambani Solution http://shambanisolutions.blogspot.com/
3. Sekata Ya Mifugo Tanzania http://achengula.blogspot.com/
The Best Beauty/Fashion Blog 1. Jestina George http://www.jestina-george.com/
2. Sheria Na Mavazi http://sherianamavazi.blogspot.com/
3. Fia Bright Site http://www.fiabright.com/
The Best Business Blog 1. Sokoni Bongo http://sokonibongo.blogspot.com/
2. Amka Tanzania http://amkamtanzania.blogspot.com/
3. Gshayo Blog http://gshayo.blogspot.com/
The Best Creative Writing Blog 1. Diary Yangu http://miram3.blogspot.com/
2. Kisiwa Cha Mashairi http://kisiwachamashairi.blogspot.com/
3. Kwa Mwanangu Mpendwa http://pongujoseph.blogspot.com/
The Best Design/Graphic Design Blog 1. Bustani ya Habari http://googlehabari.blogspot.com/

The Best Education Blog 1. Computer Experts http://umbretocalvin.blogspot.com/
2. Mandasi Technologies http://mandasi.blogspot.com/
3. Inside It Worlds http://www.onestep91.blogspot.com/
The Best Entertainments Blog 1. Tabasamu na Fuledi http://www.tabasamunafuledi.com/
2. Mashaka Kisusi http://mashakakisusi.blogspot.com/
3. The Swaga Zone http://theswagazone.blogspot.com/
The Best Food Blog 1. Culinary Chamber http://activechef.blogspot.com/
2. Tolly's Kitchen http://tollyzkitchen.wordpress.com/
3. Jinsi ya Kupika http://jinsiyakupika.com/
The Best General Blog 1. Hisia za Mwananchi http://rashidijuma.blogspot.com/
2. Demasho News http://demashonews.blogspot.com/
3. Diary Yangu http://miram3.blogspot.com/
The Best Inspiration Blog 1.Gospel Kitaa http://gospelkitaa.blogspot.com/
2. Jielimishe Kwanza http://jielimishekwanza.blogspot.com/
3. Michuzi Blog http://issamichuzi.blogspot.com/
The Best Newcomer Blog 1. Boss Ngasa http://www.bossngasa.com/
2. Jambo TZ http://www.jambotz8.blogspot.com/
3. Jovina Bichwa http://jovinbachwa.blogspot.com/
The Best News Blogs Michuzi Blog http://issamichuzi.blogspot.com/
Mwanaharakati Mzalendo http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/
Bugango Border http://bugangoborder.blogspot.com/
The Best Photography Blog 1. Michuzi Na Matukio http://michuzi-matukio.blogspot.com/ 2. Bugango Border http://bugangoborder.blogspot.com/
3. Kilimanjaro Official Blog http://kingjofa.blogspot.com/
The Best Political Blog
1. Mwanaharakati Mzalendo http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/ 2. Siasa Za Tanzania http://siasazatz.blogspot.com/ 3. Ukaridifu http://ukadirifu.blogspot.com/
The Best Religion Blog 1.Mungu pamoja Nasi http://mungupamojanasi.blogspot.com/
2.Strictly Gospel http://strictlygospel.wordpress.com/
3.Gospel Kitaa http://gospelkitaa.blogspot.com/
The Best Sports Blog 1. Shafifa Dauda http://www.shaffihdauda.com/
2. Jamii Na Michezo http://jamiinamichezo.blogspot.com/
3. Micharazo Mitupu http://micharazomitupu.blogspot.com/
The Best Travel Blog 1. Karibu Bongo http://karibubongo.blogspot.com/
2. Bugango Border http://bugangoborder.blogspot.com/

The Best Technology Blog 1. Computer experts http://umbretocalvin.blogspot.com/
2. Know Cache http://knowcache.blogspot.com/
3. Maisha Na Teknohoma http://maishanateknohama.blogspot.com/
Sasa blog hii ya BUSTANI YA HABARI inaendelea kutumia jina la BUSTANI YA HABARI ila URL yake sasa ni www.bustaniyahabari.com
yaani inatumia domain ambayo imeinunuliwa kutoka kwa EASYDNS

0 comments :
Post a Comment