-->

MASHABIKI WALICHAMBUA GOLI LA VAN PERSIE KIAINA YAKE

is it a bird, it is a plane? No it's an airborne Van Persie scoring against world champions Spain

MASHABIKI wengi baada ya Uholanzi kuwafumua mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania, mabao 5-1  wametengeneza picha nyingi za kuvutia.
Robin van Persie aliruka hewani kama anapiga mbizi na kupiga kichwa cha kushangaza akiwafungia Uholanzi bao la kusawazisha.
Caped crusaders: Robin van Persie mocked up as Batman and Arjen Robben as Robin, naturally
Mshambuliaji huyo wa  Manchester United alifanyiwa kejeli kwa kutengenezewa picha ambayo anaruka juu ya Brazil.
Kocha wa Uholanzi,  van Gaal pia alipewa heshima ya kuwa mkombozi baada ya kuifunga Hispania mabao 5-1 na alitengenezwa kama sanamu ya Yesu kristo mkombozi.
 Van Gaal ataiongoza Manchester United  baada ya kombe la dunia na matokeo ya jana hayajamshangaza gwiji Ryan Giggs.
Akizungumza na South African TV, Giggs atakayekuwa msaidizi wa Van Gaal msimu ujao, alisema: `Ulitegemea nini? ni kocha wa Man United`.
Fairytale: Van Persie takes to the skies with Peter Pan, Wendy and friends
Van Persie akipaa angani na Peter Pan, Wendy na marafiki (picha za kutengeneza)
Air head: Holland striker Van Persie is mocked up in the skies above RioMshambuliaji wa Uholanzi Van Persie ametaniwa na kutengenezewa picha akipaa katika anga la  Rio

Wrestlemania: The Holland striker makes a five-star frog splash move
Mshambuliaji wa Uholanzi akiruka staili ya chura
Mastermind: Holland manager Louis Van Gaal was hailed as the King of Brazil after stunning victory
Mkombozi: kocha wa Uholanzi Louis Van Gaal  alitengenezwa kuwa mfalme wa Brazil

Horror show: It certainly was a nightmare for Spain on Friday the 13th
Eye-popping: Holland's Bruno Martins Indi appeared to be as stunned as the Spain players
`Jicho hilo`: Mholandi,  Bruno Martins akimtazama mchezaji wa Hispania uwanjani

Sweet: Wesley Sneijder's wife Yolanthe Sneijder-Cabau enjoyed the result
Mchuchu: Mke wa Wesley Sneijder,  Yolanthe Sneijder-Cabau alifurahia mat
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment