-->

HUYU NDIO DAKTARI MDOGO KULIKO WOTE DUNIANI

Eqbal Asa'd ametangazwa kuwa ndiye Daktari mwenye umri mdogo kuliko wote duniani. Eqbal Asa'd ni binti wa kiislamu mwenye asili ya kipalestina.

Kwa kawaida fani ya Udaktari humchukua mtu kuipata akiwa na miaka 30 au juu ya miaka 20.

Eqbal Asa'd amepata Bachelor degree ya Medicine na kuingizwa katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness.

Eqbal alianza masomo ya Udaktari akiwa na umri wa miaka 14 katika Chuo kikuu cha Ohio nchini Marekani akichukua udaktari wa masuala ya magonjwa ya watoto.
Eqbal Asa'd
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment