Baada ya kutamba kwa Pweza Mtabiri miaka iliyopita kitu ambacho kilinasibishwa na imani ya ushirikina sasa ameibuka Kobe ambae alijaribiwa kwa kuwekewa chakula chenye bendera ya Brazil na Croatia na akaanua kula cha Brazil hivyo watu wenye kuamini kwenye shriki hiyo wanaamini Brazil ataibuka mshindi wa mechi kutokana na utabiri wa kobe maji.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment