Yameibuliwa mengi, na mengine ya kutisha bila shaka hayakutajwa kwa mtoto Nasra Rashid enzi za uhai wake.
MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasra alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki dunia. MWENYEZI MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.

0 comments :
Post a Comment