Wilfried Bony akiifungia Ivory Coast bao la kwanza katika dakika ya 64.
IVORY Coast imeanza vizuri michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya
kuizamisha Japan bao 2-1 kwenye mechi ya kundi C iliyopigwa leo
alfajiri. Mabao ya Ivory Coast yamewekwa kimiani na Gervinho dakika ya
66 na Wilfried Bony dakika 64 huku la Japan likifungwa na Honda 16.VIKOSI:
Ivory Coast: Barry, Aurier, Bamba, Zokora, Boka (Djakpa 75), Tiote, Yaya Toure, Die (Drogba 62), Gervinho, Bony (Konan 77), Kalou.
Benchi: Gbohouo, Viera, Kolo Toure, Bolly, Akpa Akpro, Diomande, Gradel, Sio, Sayouba.
Kadi za njano: Bamba, Zokora.
Mabao: Bony 64, Gervinho 66.
Japan: Kawashima, Uchida, Morishige, Yoshida, Nagatomo, Yamaguchi, Hasebe (Endo 53), Okazaki, Honda, Kagawa (Kakitani 86), Osako (Okubo 68).
Benchi: Nishikawa, Gotoku Sakai, Kiyotake, Aoyama, Konno, Inoha, Saito, Hiroki Sakai, Gonda.
Kadi za njano: Yoshida, Morishige.
Mabao: Honda 16.
Mahudhurio: 40,000
Mwamuzi: Enrique Osses (Chile)
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment