Mh. Lugola baada ya kuingia Bungeni akiwa amevalia bango la kuomba Kura kwa wabunge wenzake
Mh
. Lugola akiwa anavua bango lake Baada ya Mbunge Mh. Mchungaji Msigwa
kuomba muongozo wa Mh. Spika na kuamuliwa avue bango hilo
Mh. Lugola baada ya kuvua bango hilo na kuendelea na kuomba Kura.
Picha zote na Dodoma yetu Blog
0 comments :
Post a Comment