-->

SHEKH AMWAGIWA TINDIKALI YEYE PAMOJA NA MTOTO WAKE MKOANI ARUSHA


SHEHE wa msikiti mkuu wa bondeni, Arusha Mustapha Mohamed Kiago (49) akiwa yupo nje ya wodi za watoto hospital ya mkoa maunt meru akisubiri mtoto wake apate kitanda na yeye aende wodin kupata matibabu baada ya kumwagiwa tindikali yeye na mtoto wake picha ya chini na mtu asiyejulikana ambaye hawakumtambua amesema shekhe wakati akiwa na mtoto wake gafla na mtu amejitokeza na kumwaga tindikali likampata yeye na mtotot wake lakini mtoto wake imempata zaidi shehe huyo amedai hatambui kisana mkasa ya tukio hilo akiwa na mtoto wake.
CHANZO:THE CHOICE
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment