Hili
ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson
Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia
kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa
makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo.
Home
/
HABARI ZA KIMATAIFA
/
SHUHUDIA PICHA ZA MAANDALIZI YA ENEO LA KUZIKIWA SHUJAA WA AFRIKA MZEE NELSON MANDELA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment