-->

ALIYETUHUMIWA KUMUUA PADRI MUSHI ZANZIBAR ATOLEWA KWA DHAMANA

Mahakama ya mjini Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame ambaye anatuhumiwa kumuua Padri Evarist Mushi, Omari amedhaminiwa na wadhamini wawili ambao wametoa shilingi laki 5 kila mmoja.B
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment