-->

CCM WAENDELEZA UJENZI WA CHAMA MKOANI MOROGORO,BOFYA HAPA KUFAHAMU ZAIDI

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro mjini Fikiri Juma kulia akiwaeleza jambo diwani wa kata ya Sabasaba Mohamed Lukwele kushoto na Mwenyekiti wa CCM kata hiyo Mudhihil Shoo wakati wa mkutano wa hadhara wa kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 katika uwanja wa fire kabla ya mkutano huo ulifanyika kikao cha ndani kikihusisha viongozi wa ngazi ya juu wa kata hiyo. PHOTO/MTANDA BLOG.
 
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro mjini, Fikiri Juma kulia akitoa zawadi ya fedha kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya kata ya Sabasaba ya Tushikamane Manispaa ya Morogoro, Peter Kilave (18) aliyeshinda nafasi ya kwanza katika shindano la uandishi wa insha  katika shindano la kumsaka mwandishi bora uandishi wa insha wa jumuiya ya afrika mashariki na fainali kufanyika nchini Uganda hivi karibu wakati wa mkutano wa hadhala utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 ya kata ya Sabasaba na kumpongeza mshindi huo uliofanyika uwanja wa Fire Morogoro. nyuma yao kutoka kulia ni Diwani wa kata ya Sabasaba, Mohamed Lukweli na kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho katika kata hiyo, Mudhihil Shoo.PICHA/MTANDA BLOG.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro mjini Fikiri Juma kulia na Mwenyekiti wa CCM kata ya Sabasaba, Mudhihil Shoo (katikati) wakimpongeza mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya kata ya Sabasaba ya Tushikamane Manispaa ya Morogoro, Peter Kilave (18) katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 ya kata ya Sabasaba na kumpongeza mshindi huo wa kwanza katika shindano la uandishi wa insha  katika shindano la kumsaka mwandishi bora uandishi wa insha wa jumuiya ya afrika mashariki na fainali kufanyika nchini Uganda ukumbi wa kata hiyo mkoani Morogoro.
 HAPA akipokea taarifa ya utekeleza wa ilani hiyo kutoka kwa afisa mtendaji kata hiyo.
HII ni katika kikao cha ndani ikifafanuliwa huku Mwenyekiti wa kata hiyo Mudhihil Shoo akiwa makini kusikiliza jambo wakati bosi wake ambaye ni Mwenyekiti wa wilaya akifafanua jambo katika kikao cha ndani.PICHA/MTANDA BLOG
Mwenyekiti wa kata ya Sabasaba Manispaa ya Morogoro Mudhihil Shoo akieleza jambo katika kikao hicho na kulia ni Mwenyekiti wa wilaya hiyo Fikiri Juma.PICHA/MTANDA BLOG
 Mwenyekiti wa kata ya Sabasaba Manispaa ya Morogoro Mudhihil Shoo akihutubia umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo viwanja vya fire.
Fikiri Juma akicheza muziki na wanachama wa chama hicho mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa kujulisha umma utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment