-->

KIJANA APOTEZA MAISHA MKOANI MOROGORO BAADA YA KUJARIBU KUIBA NYAYA ZA UMEME MAENEO YA LITI




Hapo jana tarehe 26/12/2013 Kijana mmoja ambae jina lake halikubahatika kufahamika amepoteza maisha maeneo ya Liti mkoani Morogoro baada ya kupigwa shoti na umeme akiwa kwenye jaribio lililosadikika kuwa ni la kuiba nyaya za umeme.Inatia huruma na inaskitisha sana kwa vijana kukubali kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya vitu vya kidunia vyenye thamani ndogo kuliko uhai wao

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment