HAPA WAKIVESHANA PETE
Bibi harusi Gypsy Taub, 44, na bwana harusi Jamyz Smith, 20 walikamatwa ndani ya dakika chache baada ya kubadilishana viapo.
Kwa mujibu wa Taub: 'Hii ni katika kupinga sheria ya utupu, najua watu wa wapo nyuma yangu.'
Harusi hiyo iliendeshwa na mwanaharakati anayetetea kufutwa kwa sheria ya utupu aitwaye George Davis, anayetoka kwenye Kanisa la Universal Life.
Mara baada ya kusoma kutoka kwenye kitabu chake Kitakafu, kinachoitwa 'Erotic Art,' Davis alisema: 'Natangaza kuwa ninyi ni mke na mume.'
'Watu husherehekea kwa njia yoyote wanayojisikia kuwa poa nayo, mmoja kati ya watu waliowatakia mema wanandoa hao alisema, akiongeza: 'Ni kitu kizuri wanachokifanya. hakuna aliyeumizwa. hakuana aliyeathiriwa.'
kutokana na kuzingatia maadili tunalazimika kuzikata picha
0 comments :
Post a Comment