I have been your guardian. If this government kills me unjustly, then that will be a death of martyrdom. After my martyrdom, Allah the Almighty will be your guardian. He is the best of guardians. So you have no reason to worry.KWA KISWAHILI
I am totally innocent. They are killing me only because of my involvement with the Islamic movement. Not everyone is fortunate enough to have a death of martyrdom. Whoever is blessed with martyrdom by Allah is indeed a fortunate person. If I receive the martyrdom then that will be the greatest achievement of my life. Every single drop of my blood will speed up the advance of the Islamic movement and will cause the destruction of the oppressor. I am not worried about myself. I am concerned about the future of the country and the Islamic movement. To the best of my knowledge, I have never done anything wrong. I have dedicated my whole life to the Islamic movement for the salvation my people of Bangladesh. I have never bowed down to injustice, and will never do so in the future. It is out of question to seek forgiveness/clemency to any worldly person. Allah is the owner of the life. Only Allah will decide how I would die. My death will not happen according to the decision of any other person. The time and the manner of my death will happen only according the decision of Allah. So, I will accept the decision from Allah happily.
You must observe patience. Only through patience and tolerance you will achieve the victory promised by Allah. Not this world, but the hereafter is my goal. I request to the countrymen for prayers for the acceptance of my martyrdom by Allah. I give the countrymen my Salam.”
Nimekuwa mlinzi wenu. Kama serikali hii itaniua bila ya haki basi kifo hicho kitakuwa kifo cha shahidi(kufa jihadi).Baada ya kifo cha kishahidi Allah ndiye atayekuwa mlinzi wenu.Yeye ndiye mlinzi bora.Kwa hiyo hakuna haja ya kuogopa.
Mimi sina hatia.Wananiua kwa sababu mim nimekuwa nikijihusisha katika harakati za kiislam.Si kila mtu anaweza pata nafasi ya kufa shahidi,kila yule ambae amejaaliwa na Allah kufa shahidi kwa hakika huyo ni mtu mwenye bahati.Hivyo kama nitajaaliwa kufa shahidi basi hayo yatakuwa mafanikio makubwa sana katika maisha yangu.Kila tone moja la damu yangu litaongeza kasi ya kusambaa kwa harakati za uislam na kuwaharibu wakandamizaji.Wala sijiogopei kwa mimi binafsi bali natizama zaidi maisha ya baadae ya nchi na na harakati za uislam.Kwa ufahamu wangu sijafanya kosa lolote.Nimejitolea maisha yangu kwa ajili ya harakati za kiislam pamoja na ukombozi wa watu wa bangladeshi.Sijawahi fanya jambo lisilo la haki na wala starajii kufanya.Si swala la kumtaka msamaha mtu yoyote hapa duniani kwani Allah ndiye anayemiliki maisha.Ni Allah pekee ndiye anayeweza kuamua nitakufa vipi.Kifo changu hakitaamuliwa na mtu yoyote kwamba nitakufaje.Muda na namna ya kifo changu kitatokea kwa maamuzi yatakayofanywa na Allah pekee.Hivyo nitayapokea maamuzi kutoka kwa Allah kwa furaha kabisa.
Mnatakiwa kuwa watulivu.Ni utulivu na subra ndio unaoweza kuwafanya mpate ushindi ambao Allah amewaahidi.Malengo yangu si hapa duniani bali akhera.Nawaomba watu wa nchi hii kuniombea kwa Allah kuweza kunikubalia kifo cha shahidi(kufa jihadi)
SOURCE:ISLAM21C
0 comments :
Post a Comment