-->

HAYA NDIO MASHTAKA YANAYOMKABILI SHEKH ILUNGA

HABARI MPASUKO!!!.MASHITAKA YANAYOMKABILI SHEKH ILUNGA NI MATATU(1)KAULI YAKE YA KUWA SERIKALI IMECHOTA MABILIONI NA KULIPA KANISA(2)KAULI YAKE YA KUWA,NYERERE ALIWAUA WAISLAM ILI UKRISTO UTAWALE(3)KAULI YAKE YA KUWA,AKIUWAWA SHEKH,AKAMATWE BADRI AUWAWE.TUHUMA ZOTE HIZI WAMEDAI WANUKUU KTK CD ZAKE ALIZOWAHI KUZITOA.MASHARTI YA DHAMANA,(1)PASPOTI YAKE(2)BARUA YA MTENDAJI AU MWENYEKITI IKIWA IMEAMBATANA NA KITAMBULISHO CHA MTHAMINI.(3)MILIONI TATU KESH KWA KILA MDHAMINI,NA WADHAMINI NI WAWILI.JUMLA NI MILIONI SITA.NA MARHARTI YOTE YAMEKAMILIKA NA YUPO NJE KWA DHAMANA.NA KESI NI TR 16-0I-2014.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment