Tafadhali ingia kwenye tovuti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Brunei ilikupata maelezo ya kina ya skolashipu hizo pamoja na fomu ambazo utatakiwa kuzijaza.Tovuti hiyo ni www.mofat.gov.bn
Baada ya kujaza fomu hizo kikamilifu pamoja na viambatanisho vyake, tafadhali wasilisha nakala ya hizo fomu kwa anuani ifuatayo:-
Katibu Mkuu,
Wizaraya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
S.L.P. 9121,
DAR ES SALAAM
Fomu tajwa ziwasilishwe Wizarani kabla ya tarehe 30/12/2013
Chanzo: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
0 comments :
Post a Comment