-->

MENEJA WA KIGOMA ALL STARS HABIB MCHANGE ATOA MANENO YA KASHFA DHIDI YA HECHE

 
Hii post imechukuliwa facebook kwenye account inayosadikika kuwa ni ya Mh Habib Mchange
UJUMBE WANGU KWA NDUGU HECHE BAADA YA KUTAMBA KIGOMA MCHANA HUU KUWA ANANITAFUTA. NIMEMPIGIA SIMU NA KUMUANDIKIA HIVI.

Heche!..Mbwa wa aina yako siwaogopi. Ukome mara moja kupita pita mikoani kutamba unanitafuta. Kama unanitafuta namba yangu ni hii 0762178678, nieleze ulipo nikufate. Ukichelewa ntaanza kukutafuta mimi. WEWE NI PAKASHUME LA MACHAME. Huna unachonizidi zaidi ya unafiki na ukuwadi. Mbwa koko mkubwa wewe!.. USIRUDIE TENA KUTANGAZA MIKWARA YAKO YA KIPUUZI!. WATISHE WAMACHAME WENZIO, MIMI NI MNGONI, HAKUJAWAHI KUWA NA MNGONI FALA TANGU DUNIA IMEUMBWA..Mchange
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment