-->

AFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA KUFUNIKA KICHWA CHAKE

Huang Chuncai has undergone surgery to remove huge 3.3lb (1.5kg) tumours from his faceThe 37-year-old suffers from neurofibromatosis, the name for a number of genetic conditions that cause swellings or lumps. Huang is said to have the world's worst recorded case of itOn Wednesday he underwent another round of surgery at a hospital in Guangzhou to remove the tumour from his left cheekThe operation was successful and he will now have two more to try and get his condition under control, Chinese media reportedBwana mmoja aliefahamika kwa jina la Huan Chuncai mweny umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama kukua kwa kasi katikakichwa chake hususan maeneo ya uso,ugonjwa ambao umetambulika kama neurofibromatosis ambao husababishwa na ukuwaji wa cell ambalo ni moja ya matatizo ya kijetiksia.
 kwa mujibu wa the dailymail kijana huyo amesumbuliwa na tatizo hilo toka angali mdogo akiwa na umri wa miaka minne.Tayari amekwisha fanyiwa opesheni mara mbili kabla katika miaka tofauti tofauti (yaani mwaka 2007 na mwka 2008).Huan amepoteza meno yake yote akiwa na umri wa miaka 25 hali inayompelekea apate shida kwenye kuongea pamoja na kula.
Kijana huyo ambae amekuwa akiitwa 'China's Elephant Man amekuwa akiishi kwa shida sana,kwa mika mitano iliyopita nyama hizo zilikuwa na uzito wa  33lb (15kg) na kumsababishia matatizo ya uti wa mgongo kupelekea maumivu makali anayoyapata kutokana na kuongezeka kwa nyama hizo.
Huan amefanyiwa opesheni tena kuondoa nyama hizo kwa sasa zilizokuwa na uzito wa 3.3lb (1.5kg).
Opesheni yake huwa ni ya hatari sana kwani hupelekea kuvuja kwa damu nyingi sana mwili mwake.
BUSTANI YA HABARI
inawaomba wasomaji wake wote kumuombea dua kijana huyu kwa lugha yoyote ili mradi M/Mungu aweze kumpatia unafuu na hatimaye kupona kabisa
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment