MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO ni moja miongoni mwa vyuo vitatu nchini Tanzania ambavyo vimeanzisha degree program ya lugha ya Kichina.CONFUCIUS INSTITUTE OF CHINA ndio walioshirikiana na uongozi wa chuo Kikuu cha kiislam Morogoro kuweza kuanzisha program hiyo ya kichina Chuoni hapo.TAARIFA ZAIDI KUHUSU CHINESE DEGREE PROGRAM SOMA CHAPISHO LA DAILY NEWS...BOFYA HAPA KULISOMA
Leo hii tarehe 22/12/2013 kulikuwa na maonyesho ya tamaduni mbali mbali za kichina ambazo ziliandaliwa na kuonyeshwa na timu nzima ya walimu wa Kichina wakishirikiana na wenyeji wao ili kufanikisha tukio hilo ambalo kwa China hufanyika mwezi desemba katika kipindi cha baridi.
Baada ya kuonyesha michoro mbali mbali ya iliyoandikwa kwa lugha ya
kichina Timu ya walimu wa kichina walipata nafasi ya kuwaonyesha mapishi
mbali mbali ya kichina ambayo yanapikwa na kuliwa nchini
china.Wanafunzi na wageni waliohudhulia kwenye maonyesho hayo ya
tamaduni za kichina ambayo hufanyika kwenye kipindi cha winter walipata
bahati ya kuonja vyakula hivyo kama inavyoonekana katika picha hapo
chini.
0 comments :
Post a Comment