-->

SHUHUDIA PICHA MBALI MBALI ZA RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA KATIKA IBADA MAALUMU YA HAYATI NELSON MANDELA

 President Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mke wake mama Salma kikwete katika uwanja wa FNB Stadium Johannesburg siku ya jumanne Novemba 10, 2013
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akimtambilisha raisi Barack Obama kwa viongozi mbali mbali wa African  katika siku ya ibada maalumu ya  kumuaga Nelson Mandela ambayo yalifanyika FNB Stadium Johannesburg Tuesday Novemba 10, 2013.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment