-->

SOMA SAKATA LA KIJANA FEKI WA LUGHA YA ALAMA KATIKA IBADA YA KUMUOMBEA HAYATI NELSON MANDELA

Mtu aliyepewa jukumu la kutafasiri kile kilchukuwa kikizungumzwa na wageni mbali mbali waliohidhuria kwenye katika ibada maalumu ya hayati Nelson Mandela inasemekana kuwa ni feki na hazitambuliki ndani ya South Afrika na hata marekani.kwa mujibu wa deaf  federation of South Africa alama ambazo alikuwa akizionyesha kijana huyo zilikuwa hazina maana katika lugha ya alama na wala hazina mfanano na lugha 11 zilipo South Africa.Alilamika bwana Bruno Druchen ambae yeye ni mkugenzi wa national deaf federation wa South Africa
With the eyes of the world watching the FNB stadium in Johannesburg, the interpreter was 'moving his hands around but there was no meaning in what he used his hands for,' claimed Bruno Druchen, the federation's national director
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/?articleID=2000099927&story_title=sign-language-translator-at-nelson-mandela-s-memorial-was-a-fake
With the eyes of the world watching the FNB stadium in Johannesburg, the interpreter was 'moving his hands around but there was no meaning in what he used his hands for,' claimed Bruno Druchen, the federation's national director.
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/?articleID=2000099927&story_title=sign-language-translator-at-nelson-mandela-s-memorial-was-a-fake
PHOTO: President Barack Obama delivers his speech next to a sign language interpreterCHANZO:STANDARDMEDIA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment