Kwa wale ambao mnapata matatizo ya tumbo kujaa
GAS baada ya kunywa MAZIWA mnashauriwa kuweka ASALI kwenye maziwa.
ASALI inasaidia kuzuia utengenezwaji wa GAS na pia inasaidia KUDIGEST
maziwa kwa haraka zaidi na hivyo kuzuia tatizo hilo.
Asubuhi njema.
Unaweza SHARE kuwajulisha na wengine pia.
CHANZO:HONEY SPRING
Asubuhi njema.
Unaweza SHARE kuwajulisha na wengine pia.
CHANZO:HONEY SPRING
0 comments :
Post a Comment