KUTIBU HARUFU MBAYA KUTOKA MDOMONI
Waamerica wa kusini wanasukutua kwa kutumia ASALI na MDALASINI iliyochanganywa kwenye maji ya vuguvugu kila asubuhi ili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya kusini, watu hula kijiko cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}. Wataalamu wanaamini kwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayo mdomoni.
Unaweza SHARE kuwajulisha na wengine pia ukipenda.
CHANZO:HONEY SPRING
0 comments :
Post a Comment