STROCK (KIHARUSI)
Kiharusi ni ugonjwa ambao husababishwa na kufa kwa cell za ubongo.Kuna aina mbili za kiharusi.1.Kiharusi cha aina ya kwanza kinachoitwa ischemic hichi husababishwa na kuziba kwa mishipa ya damu baada ya mishipa hiyo kujaa mafuta(cholesterol) na kusababisha damu kutofika vzr kwenye ubongo kama unavyoona kwenye kimchoro cha juu.2.Kiharusi cha aina ya pili kinachoitwa hemorrhagic hiki husababishwa na kupasuka kwa baadhi ya mishipa ya damu kwenye ubongo kama unavyoona mchoro wa chini na kusababisha damu kusambaa kwenye ubongo na kusababisha mmbonyeo ndani ya ubongo na kusababisha kiharusi.watu wenye presha wako kwenye hatari kubwa ya kupata kiharusi na kiharusi huuwa haraka sana.Kiharusi kiko hivi kama ubongo wa upande wa kulia ndio utakaoathirika basi utapararaiz upande wa kushoto,na kama ubongo utaathirika upande wa kushoto basi utapararaizi upande wa kulia.
DALILI ZA KIHARUSI
1.kupooza mguu au mkono.
2.Kuchanganyikiwa kupata shida kuongea au kuelewa.hapa utakuta mnamgonjwa halafu inafikia kipindi anakuwa kama kachanganyikiwa anaongea yasioeleweka na pia anapoteza kumbukumbu,anaweza kuja kumuona mtoto wake kabisa halafu akamuuliza wewe ni nani.
3.kutokuona jicho moja au yote.
4.kuumwa kichwa kikali mara kwa mara pasipojua chanzo.
5.kichefuchefu cha ghafla kuwa na homa na kutapika muda mrefu.
KIHARUSI KINATIBIKA KINGA ZA KIHARUSI PIA ZIPO.Kwa tatizo lolote la kiafya au kama unaswali waweza tumia 0715448643.

0 comments :
Post a Comment