-->

SOMA MAKALA ILIIYOTIKISA:SIO DHAMBI KWA RIDHIWANI KUGOMBEA UBUNGE




Tayari Wanaoishi Ndani Ya Dunia Ya Kusadikika Wameanza Kusadiki..
SI DHAMBI KWA MTOTO WA MWALIMU KUWA MWALIMU, SI DHAMBI KWA MTOTO WA DAKTARI KUWA DAKTARI, SI DHAMBI HATA KIDOGO KWA MTOTO WA MWASIASA KUWA MWANASIASA NA NDIO MAANA KATIKA TAMADUNI ZETU SISI WA AFRICA MTOTO WA CHIEF SIO AJABU NAE AKIJA KUWA CHIEF, MZEE BURITO NYERERE YEYE ALIKUWA MTAWALA WA KICHIEF KATIKA KABILA LA KIZANAKI LAKINI MWANAE AKAJA KUWA MTAWALA KATIKA TAIF LA WATANZANIA HAIKUWA ZAMBI KWA MTOTO WA MTAWALA KUJA LUWA MTAWALA,

KATIKA DEMOCRATIC CIVILITY USTAARABU WA KIDEMOCRASIA UNAMPA UHURU MTU YOYOTE MWENYESIFA ZA KUSERVE KATIKA THE SAME GOVERNMENT WITH HIS OR HER RELATIVES HUO NI UTARATIBU WA KAWAIDA KABISA KATIKA NCHI ZILIZOPIGA HATUA KATIKA UKUWAJI WA DEMOCRASIA KAMA AMERICA

RAISI WA AWAMU YA 41 WA MAREKANI MZEE GEORGE HERBET WALKER BUSH ALIKUWA RAISI WA AMERICA BAADAE MWANAE GEORGE W BUSH AKAJA KUWA RAISI WA AMERICA AWAMU YA 43.
BILL CRINTON RAISI WA AMERICA AWAMU YA 42 MKEWE BI HILLARY DIANE ROTHAM CRINTON ALIKUWA CAMPEINER WAKE MWAKA 1992,
BAADAE HILLARY CRINTONI ALIKUJA KUGOMBEA URAISI AKASHINDWA KATIKA KURA ZA MAONI,LAKIN AKAJA KUWA SECRETARY OF STATE KUANZIA MWAKA2009-2013

RAISI LAURENT KABILA WA JAMHURI YA WATU WA KONGO BABA YAKE ALIKUWA RAISI KAMA ALIVYO YEYE HIVI SASA

RAISI YOHERI KAGUTA MUSEVEN WA UGANDA NDUYAKE HALF BROTHER GENERALY SALEM SALEH ALIKUWA MNADHIMU MKUU WA JESHI NCHINI UGANDA,BAADAE AKAWA WAZIRI WA ULINZI WA UGANDA,MKE WAKE JANETH KATAAH MUSEVEN NI WAZIRI WA JAMII YA WATU WASIO NA MAKAZI MAALUM KALAMOJA PIA NI MBUNGE WA BUNGE LA UGANDA, MTOTO WAKE WAKWANZA BRIGADIA MUHOZIA KANEIRUBAGE MUSEVEN NI MOJA KATI YA POWERFULL MILLITALY OFFICER IN UGANDA ARMY.

SIO DHAMBI KWA MTOTO WA NYOKA KUWA NYOKA
NDIO MAANA UTAMUONA LEO NDESAMBULO LEO ANAKAA KWENYE BUNGE MOJA NA WANAE WAKWEZAKE, MASHEMEJI ZAKE, MBOE LEO ANAKAA BUNGE MOJA NA MZAZI MWENZIE, TUNDU LISU NA DADA YAKE WAKO KWENYE BUNGE MOJA.

KILA LA KHERY Ridhiwan Kikwete HAKUNA CHAKUKUZUIA GO AND SERVE FOR THE PEOPLE OF CHALINZE ITS YOUR DESTINY.

Twende Pamoja
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment