-->

MALORI YAANGUKA NA KUZIBA NJIA ENEO LA WAMI



Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami.  Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro.
Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la mto Wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo.
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment