Ofisi ya chadema huko mkoani Arusha imechomwa moto na watu wasiofahamika,maaskari wanaendelea na utafiti kuwajua waliochoma taarifa ofisi ya chama cha demokrasi na maendeleo....kwa habari zaidi kuhusu habari hii.....endelea kufuatilia kusoma habari za blog hii
CHANZO:MPEKUZI
Blogger Comment
Facebook Comment