Mfanyabiasha aliyeingiza mchele kutoka Pakistan, ambao umegundulikana
kuwa ni Mbovu na haufai kwa matumizi ya kula kwa Binaadamu, umeamuliwa
na Bodi ya Madawa na Vipodozi kurejesha kwao Ndg. Mohammed Mauly,
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo la kuaza kwa
kuutayarisha kwa kuurudisha Paskistan.
Mchele
mbovu uliodhibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar
ukiwa kweye Godauni Mwanakwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo
nunuliwa.
Wachuku wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka.
Mfanyabiashara
aliyeingiza Mchele kutoka Pakistan Bwa. Mohamed Mauly akionyesha Mchele
mbovu ulithibitishwa na Bodi ya vyakula Dawa na Vipodozi Zanzibar na
mwenyewe kuridhika na majibu hayo, nakusema sio aliouagizia hivyo
ameshapeleka madai na kutakiwa aurudishe ili kupewa haki zake na Kampuni
ya Bilal Rice Mills ya Pakistan. Picha na Makame Mshenga wa
Maelezo-Zanzibar.
0 comments :
Post a Comment