-->

JOKA KUBWA AINA YA CHATU LAMMEZA MLEVI

Hili ndio joka kubwa ambalo linasadikika kummeza mlevi aliyekunywa pombe na kulala eneo la kalibu sehemu ya kuuzia pombe.Picha hii imechukuliwa twitter ya Vikraman Nair amabako watuamiji wengi wa twitter wamekuwa waki-retweet yaani kuiweka kwenye wall kwa zaidi ya mara 15,000 na pia imekuwa ikipokea LIKES 4000(BEEN  FAVOURITED  MORE THAN 4000 TIMES).
 Utafiti uliofanywa na BUSTANI YA HABARI umegundua kwamba habari hii si ya kweli bali ni ya kutengenezwa kwani imekuwa ikijirudia kwenye mitandao mara kwa mara huku maeneo ya kutokea kwa tukio hilo yakibadilika.Picha hii ilionekana mtandaoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 mwezi august huku ikisadikika tukio hilo kutokea nchini China na hii leo imetumika picha hiyo hiyo kulipoti tukio hilo kutokea nchini Indonesia january mwaka huu wa 2013 pia website ya Hoax slayer imesema tukio hilo limetokea mwezi September 2012.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment