-->

MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA CHRISTOPHER ALEX AFARIKI DUNIA

Mchezaji wa zamani wa Simba Christopher Alex amefariki dunia,Mchezaji huyo ambaye alicheza timu ya tifa ya TAIFA STAZ pamoja na klabu yake ya Simba amefariki dunia leo.
Christopher Alex aling'aa kaztika zama za kocha James Siang'a,atakumbukwa kwa penati yake ya mwisho iliyoipa ushindi Simba kule Misri na kulitangaza vyema soka letu kimataifa
TO ALLAH WE BELONG AND TO HIM IS OUR RETURN
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment