Timu ya Simba ya jijini Dar Es Salaam imeendelea kuwanyima usingizi wa raha mashabiki wake baada ya leo kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Stand United ya Shinyanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga.
Bao pekee la wenyeji limefungwa na Mnigeria, Chiddy.
0 comments :
Post a Comment