Matokeo EPL | Tottenham 2-1 Arsenal:
Mesut Ozil aliipa Arsenal uongozi katika dakika ya 11 baada ya Olivier Giroud kupiga shuti fyongo na kutua vema kwa Ozil.
Harry Kane akaliendeleza libeneke la kuzifumania nyavu akaisawazishia Tottenham dakika10 baada ya kipindi cha pili kuanza
Straika huyo mwenye miaka 21 akapiga bao la pili dakika tano mpira kumalizika.
Ushindi huu wa Tottenham umewafanya waishushe Arsenal na kukaa katika nafasi waliyokuwepo.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment