ga ya 2015
Picha hizi za yanga ziko kwenye jumba la makumbusho ya Azimio la Arusha ambapo juzikati Mwandishi wa Mtandao huu alitinga katika jumba hilo lililopo eneo la Kaloleni Jijini Arusha
na kukutano na kikosi hicho cha yanga kikiwa ni miongoni mwatimu pekee iliyopo kwenye makumbusho hayo ya taifa BIG UP Yanga.
Na Dustan Shekidele,Morogoro.
JANA timu ya Dar Yanga Afrika yenye
maskani yake makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani Katikati ya Jiji la
maraha la Dar es salaam imetimiza miaka 69 toka kuzaliwa ambapo timu
hiyo ilizaliwa tarehe 11 February 1946,hivyo jana February 11 2015
imefanya Birthday yake ya kutimiza miaka hiyo 69 huku ikiwa na
mafanikiwa kadhaa.
Hivi karibu Mwandishi wa Mtandao huu
alitembelea Jumba la taifa la makumbusho ya Azimio la Arusha lililopo
Mtaa wa Kaloleni Jijini Arusha na kukuTa kikosi pekee cha yanga cha
mwaka 46 kikiuza sura kwenye Jumba hilo.
Hata hivyo uchunguzi uliofanywa na Mwandishi wa Mtandao huu umebaini
kwamba Yanga walipata Zari hilo la kuwemo kwenye Jumba hilo kwa
sababu miaka hiyo ya 69 ilifanya kazi ya kukipigia debe chama tawara
cha TANU sasa CCM.
SOURCE:SHEKIDELE
0 comments :
Post a Comment