Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 89,845 sawa na asilimia 66.61 wakati wavulana ni 106,960.
Shule kongwe na za vipaji hoi
Shule
za vipaji kama Ilboru, Mzumbe, Msalato, Kilakala, Tabora Boys, Kibaha
na Tabora Girls na Shule kongwe zinazomilikiwa na Serikali kama Pugu,
Zanaki, Bwiru Boys, Minaki, Azania na Jangwani, kwa mara nyingine
zimeshindwa kufua dafu kwa shule za binafsi.
Katika
orodha ya shule 10 bora shule binafsi zilizotamba katika matokeo hayo
ni
- Kaizirege (Kagera)
- Mwanza Alliance (Mwanza)
- Marian Boys (Pwani)
- St. Francis Girls (Mbeya)
- Abbey (Mtwara)
- Feza Girls (Dar es Salaam)
- Canossa (Dar es Salaam)
- Bethel Sabs Girls (Iringa)
- Marian Girls (Pwani) na
- Feza Boys (Dar es Salaam).
Shule
10 za mwisho ni:
- Manolo (Tanga)
- Chokocho (Pemba)
- Kwaluguru (Tanga)
- Relini (Dar es Salaam)
- Mashindei (Tanga)
- Njelekela Islamic Seminary (Kigoma)
- Vudee (Kilimanjaro)
- Mnazi (Tanga)
- Ruhembe (Morogoro)
- Magoma (Tanga).
Watahiniwa 10 bora kitaifa
Dk
Msonde aliwataja wanafunzi 10 bora kitaifa kuwa ni:
- Nyakaho Marungu (Baobab),
- Elton Jacob (Feza Boys),
- Samwel Adam (Marian Boys),
- Fainess Mwakisimba (St. Francis Girls),
- Mugisha Lukambuzi (Bendel Memorial),
- Paul Jijimya (Marian Boys),
- Angel Mcharo (St. Francis Girls),
- Atuganile Jimmy (Canossa),
- Jenifa Mcharo (St. Francis Girls)
- Mahmoud Bakili (Feza Boys).
Wasichana 10 bora kitaifa
Katika
matokeo hayo wanafunzi bora kwa wasichana ni:
- Nyakaho Marungu (Baobab),
- Fainess Mwakisisimba (St. Francis Girls),
- Angel Mcharo (St. Francis Girls),
- Atuganile Jimmy (Canossa),
- Jenifa Mcharo (St. Francis Girls),
- Levina Ndamugoba (Msalato),
- Veronica Wambura (Canossa),
- Sifaely Mtaita (St Maris Mazinde Juu),
- Catherine Ritte (St. Francis Girls)
- Anastazia Kabelinde (Kaizerege).
Wavulana 10 bora
Dk
Msonde aliwatangaza vinara kwa wavulana kuwa ni:
- Elton Jacob (Feza Boys)
- Samwel Adam (Marian Boys),
- Mugisha Lukambuzi (Bendel Memorial),
- Paul Jijimya (Marian Boys),
- Mahmoud Bakili (Feza Boys),
- Amani Andrea (Moshi Technical),
- Mahmoud Msangi (Feza Boys),
- Elias Kalembo (Feza Boys),
- Haji Gonga (Feza Boys)
- Kelvin Sessan (Feza Boys)
0 comments :
Post a Comment