Mwanafunzi aliyeongoza kwa kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha
nne kitaifa mwaka jana, Nyakaho Marungu akipongezwa na mama yake
Celestina Maro, nyumbani kwao Kitunda Dar es Salaam jana, muda mfupi
baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya
mtihani huo. Picha na Goodluck Eliona
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment