Swisskleaks imewataja watanzania 99 walioweka kiasi cha dolla za kimarekani million 114 kwenye banks mbalimbali za Uswisi.
Tanzania ni nchi ya 100 kati ya nchi 234 zilizoweka kiasi kikubwa cha fedha.
Utafiti unaonyesha accounts nyingi zilifunguliwa baada ya mwaka 2000(baada ya kifo cha mwalimu).
Nchi karibia 12 ikiwemo Lesotho hakuna hata mkazi wake wala serikali kumiliki account Uswisi.
Source: Explore the Swiss Leaks Data | International Consortium of Investigative Journalists
0 comments :
Post a Comment