Timu
ya Yanga ya jijini Dar Es Salaamimeendelea kujichanua kileleni mwa
msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi
wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City ya jijini Mbeya. Mchezo huo uliochezwa
kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya mabao ya Yanga yalifungwa na Simon
Msuva, Mrisho Ngassa na Amis Tambwe huku bao la Mbeya City likifungwa
na Peter Mapunda.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment