Imekuwa kawaida kila mwaka
pale ambapo matokeo yanapotoka watu wengenge utalajia mambo mazuri ata
yulealiye kuwa kilaza dalasani naye anaamini atafaulu tu ila matokeo yake mambo
yanakuja kutokana na kile ulicho panda kama ulipanda mawe basin ni mawe
unatakiwa kuvuna
Kinachosikitisha Zaidi ni
pale wanapo chukua hatua kama huyu
Kijana mmoja ajulikanaye kwa
jina John Maduhu wa KIjiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini
kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia
vibaya, akiongea na mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo
kutoka, JOhn alitoweka nyumbani
SOURCE:MSAMA BLOG
0 comments :
Post a Comment