DEGEA KUBAKI MAN UNITED,MADRID WAGEUZA KIBAO NA KUMTAKA KIPA WA CHELSEA
Wakala wa mchezaji David De Gea - Jorge Mendes amesema ameanza mazungumzo na Manchester United juu ya mkataba mpya wa De Gea. Wakati huo huo vyombo vya habari vinasema Madrid wamemgeukia kipa wa Chelsea Thibaut Courtois baada ya De Gea kuamua kubaki United.
0 comments :
Post a Comment